J FIVE TV ONLINE
J FIVE TV ONLINE
  • 1 795
  • 3 024 266
ONA WABAKAJI wa BINTI WA YOMBO WALIVYOFIKISHWA MAHAKAMANI..WAMEKANA MASHTAKA! ...
Watuhumiwa wanne waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya kubaka na kulawiti na baadae picha mjongeo kusambaa kwenye mitandao ya kijamii na kuzua hakaruki wamefikishwa mahakamani leo Agosti 19,2024.
Watuhumiwa hao wamefikishwa katika kituo jumuishi cha utoaji haki,Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Dodoma na kusomewa makosa mawili ambapo kosa la kwanza nia Kubaka kwa kundi na kosa la pili ni kumuingilia kinyume cha maumbile binti huyo.
Watuhumiwa hao waliofikishwa mahakamani ni MT. 140105 Clinton Honest Damas maarufu Nyundo,Amin Lord Lema ,Nickson Idala Jackson na C.1693 Playgod Edwin Mushi
Kwa mujibu wa taarifa ya Renatus Mkude, Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Taifa ya Mashtaka amesema kesi hiyo itasikilizwa kwa siku tano kuanzia leo Agosti 19 hadi Agosti 23 siku ya Ijumaa.
Переглядів: 295

Відео

WAZIRI JAFO HAPOI! AFIKA SHULE MPYA YA KISASA KISARAWE.. ATOA MAAGIZO KWA MKURUGENZI
Переглядів 454 години тому
VISIGA SEKONDARI IFUNGULIWE MAPEMA TUWAPUNGUZIE WANAFUNZI UMBALI WA KUTEMBEA -DKT JAFO Na Didas Olang, Kisarawe-Pwani Mbunge wa Jimbo la Kisarawe Dkt Selemani Said Jafo ambaye pia ni Waziri wa Viwanda na Biashara amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya kisarawe kuharakisha Ujenzi wa Miundombinu saidizi katika shule mpya ya Sekondari Visiga ili iweze kufunguliwa mapema. Akiwa ...
WAZIRI JAFO JIMBONI, AZINDUA ZAHANATI ATOA MAAGIZO kwa MADAKTARI
Переглядів 129 годин тому
DKT JAFO: NI FARAJA YANGU KUONA WANANCHI WANAPATA HUDUMA BORA YA AFYA. Mbunge wa Jimbo la Kisarawe Mhe. Daktari Selemani Said Jafo amewasihi wataalamu wa afya kuboresha utoaji huduma za afya kwa wananchi. Dkt. Jafo ametoa rai hiyo wakati akizindua zahanati ya Kijiji cha Chakenge kata ya Mzenge Wilayani Kisarawe. Amesema faraja yake kama kiongozi mwakilishi wa wananchi ni kuona wataalamu hao wan...
HISTORIA KUWEKWA KISARAWE, BARABARA YA LAMI KM 34.5 KUJENGWA.
Переглядів 2114 годин тому
HISTORIA KUWEKWA KISARAWE, BARABARA YA LAMI KM 34.5 KUJENGWA.
RAIS SAMIA APANGUA BARAZA LA MAWAZIRI/ UMMY MWALIMU AONDOLEWA, KABUDI na LUKUVI WAREJESHWA.
Переглядів 4414 годин тому
RAIS SAMIA APANGUA BARAZA LA MAWAZIRI/ UMMY MWALIMU AONDOLEWA, KABUDI na LUKUVI WAREJESHWA.
WAZIRI JAFO AAHIDI GARI JIPYA LA WAGONJWA kwa WANANCHI WAKE JIMBONI
Переглядів 2021 годину тому
Wananchi wa Kata ya Chole na Vikumburu Wilayani Kisarawe wamehoji mahali ilipo gari la kubebea wagonjwa (Ambulance) iliyokuwa inahudumu katika kituo cha Afya Chole inayohudumia kata hizo. Kwa Nyakati tofauti wananchi wa Vijiji vya Kata ya Chole na Vikumburu wameelekeza maswali yao kwa Mbunge wa Jimbo hilo Dkt. Selemani Said Jafo ambaye pia ni Waziri wa Viwanda na Biashara akiwa katika ziara ya ...
DKT MOHAMED: HII SIMBA BADO! ATAJA UDHAIFU WAKE/ AMKOSOA KOCHA FADLU....
Переглядів 90День тому
DKT MOHAMED: HII SIMBA BADO! ATAJA UDHAIFU WAKE/ AMKOSOA KOCHA FADLU....
MOTO WA MAKAME YANGA BAADA YA KUMKANDA MTANI
Переглядів 121День тому
MOTO WA MAKAME YANGA BAADA YA KUMKANDA MTANI
Waandishi Weeee🤣🤣 GODY YANGA Ageuka Ahmed Ally Baada ya Kipigo kwa Simba
Переглядів 66День тому
GODY YANGA FURAHA IMEZIDI/ KUMFUNGA MTANI RAHA NYIE!
KISUGU ACHAFUKWA SIMBA KUFUNGWA NA YANGA...
Переглядів 2,9 тис.День тому
KISUGU ACHAFUA HALI YA HEWA..AZUNGUMZA MAZITO SIMBA KUFUNGWA NA YANGA MFULULIZO
AHMED ALLY: TIMU TUNAYO! TUMEFUNGWA na TUMEFURAHI
Переглядів 53День тому
TUMEFUNGWA na TUMEFURAHI/ WATANI WANAUZOEFU WAMETUZIDI
LEYLA na MIKAKATI KUWAINUA WANAWAKE KUTOKA ZERO HADI KUMILIKI BIASHARA KUBWA PASIPO MIKOPO UMIZA.
Переглядів 24814 днів тому
LEYLA na MIKAKATI KUWAINUA WANAWAKE KUTOKA ZERO HADI KUMILIKI BIASHARA KUBWA PASIPO MIKOPO UMIZA.
YUKO WAPI ALI KAMWE? Mashabiki wachachamaa... Wamuita Manara Mshereheshahi tu!
Переглядів 31914 днів тому
YUKO WAPI ALI KAMWE? Mashabiki wachachamaa... Wamuita Manara Mshereheshahi tu!
DICKSON JOB: SIKIA TAMBO ZAKE KUELEKEA DERBY YA NGAO YA JAMII AGOSTI 8
Переглядів 3214 днів тому
DICKSON JOB: SIKIA TAMBO ZAKE KUELEKEA DERBY YA NGAO YA JAMII AGOSTI 8
#yangaday FATAKI ZILIVYOPENDEZESHA kwa MKAPA SIKU YA MWANANCHI
Переглядів 14014 днів тому
USIKU WA YANGA ULIVOKUWA UWANJA BENJAMIN MKAPA
MAJIBU YA MZEE DALALI kwa WAANDISHI ALIPOULIZWA ANAIONA WAPI SIMBA MPYA...
Переглядів 1,5 тис.14 днів тому
MAJIBU YA MZEE DALALI kwa WAANDISHI ALIPOULIZWA ANAIONA WAPI SIMBA MPYA...
#SIMBADAY2024_TAZAMA UTAMVULISHO WA WACHEZAJI WAPYA SIMBA
Переглядів 35514 днів тому
#SIMBADAY2024_TAZAMA UTAMVULISHO WA WACHEZAJI WAPYA SIMBA
SAKATA LA MANULA SIMBA LAFIKIA PABAYA/ SIMBA WAFANYA MAAMUZI MAGUMU
Переглядів 39014 днів тому
SAKATA LA MANULA SIMBA LAFIKIA PABAYA/ SIMBA WAFANYA MAAMUZI MAGUMU
KOCHA FADLU ASIKITIKA ''UKUBWA WA SIMBA BILA KOMBE MIAKA 3!!" ATANGAZA UBAYA KUBEBA KILA KOMBE....
Переглядів 3,2 тис.14 днів тому
KOCHA FADLU ASIKITIKA ''UKUBWA WA SIMBA BILA KOMBE MIAKA 3!!" ATANGAZA UBAYA KUBEBA KILA KOMBE....
KIBU MKANDAJI ARUDI SIMBA KIMYAKIMYA..ONA ALIVYOKIWASHA MAZOEZINI...
Переглядів 5614 днів тому
KIBU MKANDAJI ARUDI SIMBA KIMYAKIMYA..ONA ALIVYOKIWASHA MAZOEZINI...
"...MTAENDELEA KUBAKI NYUMA" DIWANI AKERWA na WANANCHI WANAOKWAMISHA MAENDELEO
Переглядів 4314 днів тому
"...MTAENDELEA KUBAKI NYUMA" DIWANI AKERWA na WANANCHI WANAOKWAMISHA MAENDELEO
DED KISARAWE AWA MKALI/ AWAFUTA KAZI WALIOTAKA KUMJARIBU KUCHEZEA MAPATO
Переглядів 7421 день тому
DED KISARAWE AWA MKALI/ AWAFUTA KAZI WALIOTAKA KUMJARIBU KUCHEZEA MAPATO
DC MAGOTI ATANGAZA NGOMA YA VANGA, MDUNDIKO KUCHEZWA MSITUNI USIKU- MCHANA KISARAWE
Переглядів 69721 день тому
DC MAGOTI ATANGAZA NGOMA YA VANGA, MDUNDIKO KUCHEZWA MSITUNI USIKU- MCHANA KISARAWE
ZIJUE AINA ZA MAUA NA SIFA ZAKE/ NAMNA YA UPANDAJI NA MATUNZO.
Переглядів 14521 день тому
ZIJUE AINA ZA MAUA NA SIFA ZAKE/ NAMNA YA UPANDAJI NA MATUNZO.
"KATAA KUBAKI PALE PALE" WANAWAKE WA BUYUNI WALIVYOFANYA MAGUMU KUWA RAHISI.
Переглядів 1021 день тому
"KATAA KUBAKI PALE PALE" WANAWAKE WA BUYUNI WALIVYOFANYA MAGUMU KUWA RAHISI.
RC KUNENGE AKERWA NA UKIRITIMBA kwa WAWEKEZAJI.. ATOA MAAGIZO.......
Переглядів 2621 день тому
RC KUNENGE AKERWA NA UKIRITIMBA kwa WAWEKEZAJI.. ATOA MAAGIZO.......
IBADA KKKT CHANIKA: NEEMA YA KRISTO IMETUWEZESHA KUTEGUA MITEGO YA IBILISI
Переглядів 3528 днів тому
IBADA KKKT CHANIKA: NEEMA YA KRISTO IMETUWEZESHA KUTEGUA MITEGO YA IBILISI
"SASA NYUMBANI SILALI" DC MAGOTI BAADA YA KUPEWA GARI JIPYA LA KIFAHARI
Переглядів 1,9 тис.28 днів тому
"SASA NYUMBANI SILALI" DC MAGOTI BAADA YA KUPEWA GARI JIPYA LA KIFAHARI
...''TUMELEANA VYA KUTOSHA'' MAGOMA AZIDI KUIVURUGA YANGA/ WAZEE WENGINE WAIBUKA.
Переглядів 89Місяць тому
...''TUMELEANA VYA KUTOSHA'' MAGOMA AZIDI KUIVURUGA YANGA/ WAZEE WENGINE WAIBUKA.
MCHUNGAJI MSIGWA AANIKA SIRI ZA NDANI YA CHADEMA na MIPANGO YA MBOWE
Переглядів 871Місяць тому
MCHUNGAJI MSIGWA AANIKA SIRI ZA NDANI YA CHADEMA na MIPANGO YA MBOWE

КОМЕНТАРІ

  • @RoyceDedan
    @RoyceDedan 14 годин тому

    Asante sana somo ni zuri sana

  • @HijaNoman
    @HijaNoman День тому

    Tunawapataje mawasiliano yenu tuna pataje apo

  • @LevinaRichard-u8x
    @LevinaRichard-u8x 3 дні тому

    Cute❤

  • @EstaGerrard
    @EstaGerrard 3 дні тому

    Hujasema karanga kiasi gan na sukari kias gan na ngao

  • @user-qe9cy6xl1t
    @user-qe9cy6xl1t 8 днів тому

    Job mwanangu nicheki kuna jambo nataka kukuambia ni kwamba inamuhusu rafiki yako azizi kii

  • @Pendo-m3z
    @Pendo-m3z 8 днів тому

    Nimekupenda mwaya kwanza unaanda kwenye hali ya usafi nimependa

  • @khamismohd9232
    @khamismohd9232 9 днів тому

    Big up mwalim kasisi apo 🎉

  • @user-yk7ff9ks6q
    @user-yk7ff9ks6q 12 днів тому

    Bei gan inakua polo la mbwa wakubwa

  • @user-cl5un4tu3e
    @user-cl5un4tu3e 12 днів тому

    Kilo 5 sukari kiasi gani

  • @HappySausi-n6p
    @HappySausi-n6p 12 днів тому

    Mtumishi Mungu asikuache akumbuke huduma yako daima

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 12 днів тому

    Juzi alikua bubu? Kama alisema Yanga haiwezi kuwafunga tena! Leo yupo nabwabwaja

  • @stevenobure8241
    @stevenobure8241 13 днів тому

    Kwani ku attack na kushambulia kuna utofauti????

  • @dahelahmad6331
    @dahelahmad6331 13 днів тому

    Alhamdulillah Simba washaanza kuzoea kufungwa na YANG'A.

  • @NicholausMagere-qz4pk
    @NicholausMagere-qz4pk 13 днів тому

    Kama wachezaji wote walikuwa kwenye form na mmepoteza itakuwaje siku mkipoteza Hapo hakuna team

  • @NicholausMagere-qz4pk
    @NicholausMagere-qz4pk 13 днів тому

    Msingeleta team ,Kuna yule jamaa wa kwenye nongwa za msimu anaepanga team huku akisisitiza Dodiiiii niulize 😂😂😂😂

  • @TatuMussa-ps2ui
    @TatuMussa-ps2ui 13 днів тому

    Kuchwa tenge

  • @chrisantusnditi8670
    @chrisantusnditi8670 13 днів тому

    😂😂Kichwa tenge alijitapa kabla ya mechi.Naona amepoa

  • @SalumKiduka
    @SalumKiduka 13 днів тому

    Sabustesheni

  • @Elishamalonga
    @Elishamalonga 13 днів тому

    Huyu jaam akili hana kweli rfa lii kafanyeje tena

  • @user-yn1jb4iu8e
    @user-yn1jb4iu8e 13 днів тому

    Huna lolote mdomo umekuzidi

  • @angelkipokola642
    @angelkipokola642 14 днів тому

    Huo upish wa samaki apana ....apana kwa kweli utakula mwenyewe raha ya samaki aonekane pande zuli la kuvutia.... kula mwenyewe 🙌🙌🙌

  • @ahmedsoudathman5088
    @ahmedsoudathman5088 14 днів тому

    Vzuri sana

  • @FadhiliMwaitete-ls2li
    @FadhiliMwaitete-ls2li 15 днів тому

    Sawa wewe ni makapi ya pumba za mpunga duu msigwa ukimbuke ubunge ulipewa pia na chadema sasa jiandae kisokojia ndugu yangu ccm hao hao ulikuwa unawatukana sasa usizani wanakili ya kuku ya kusahau walipo pigwa kwenye pumba hao ccm ni binadamu wanakuchora tu mulize waitara kinacho mkuta kwa sasa sembuse wewe wee bwabwaja mpaka mikojo ikutoke mwishowe majibu utayapata freshi wee komaa tu kutunanga chadema tunakusubilia utakuja uje mungu atakulipa kama waitara au mwendazake bumunda wewe

  • @SyMEENA
    @SyMEENA 16 днів тому

    This is beautiful,....Yanga Day!

  • @charleslucas4365
    @charleslucas4365 18 днів тому

    Mungu akatusimamie msim ukawe mzur kwetu🙏🏻🙏🏻

  • @geofreysamson6051
    @geofreysamson6051 19 днів тому

    Good clarification from the Head Coach of our lovely Simba SC. We all, the eyes are to you players, technical bench and the management.

  • @user-vv4wo5fu9t
    @user-vv4wo5fu9t 19 днів тому

    HAO DPW HAWANA DILI KABISA NI WEZI WAKUBWA MBONI WATANZANIA HATUKOMI MBUGA YA WANYAMA MMEMPA MWARABU VIPI NYINYI VIONGOZI WETU TUMELONGWA NA NANI...PUMBAVU ZENU..

  • @raymondmwambete2330
    @raymondmwambete2330 21 день тому

    Asante kwa maarifa mwl

  • @ZashaBeauty-td5lc
    @ZashaBeauty-td5lc 22 дні тому

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu

  • @hosianaeliud243
    @hosianaeliud243 23 дні тому

    Nimekupenda mtumishi kweli tunyooshe watumishi vidole ikiwa ni Mungu amemuita garama nikubwa sana umeongea vzur sana....wengi tunaongea na kuhukumu kwa hisia uku atuna uakika.....

  • @ObedMihayo
    @ObedMihayo 28 днів тому

    Mtumishi wa Mungu samahani naomba kukuomba kitu kwamba vipi kama ungekuwa unataja hao wahusika wa kwenye ndoto na maana zao kabisa mfano. Njiwa ana maana ya roho mtakatifu

  • @BM_Smart2-6
    @BM_Smart2-6 28 днів тому

    Aisee DC Magoti nimependa sana confidence yako, kusimamia na kunyoosha taratibu zilizopinda na ni kweli jamii yetu ina mambo mengi ya ajabu ajabu sana mikoani, wilayani na vijijini halafu watu hao hao wana kazi ya kulaumu.

  • @ramadhanihamisi5596
    @ramadhanihamisi5596 29 днів тому

    KAMA UKO HIVI UTAACHWA NA KILA MWANAMKE Leo nimeona niongele hili swala wanaume wengi kutodumu kwenye Mahusiano au kuachwa mara kwa mara Kuna sababu zinaweza kuchangia lakini kuna wakati wanamke anaamuwa tu kutoka na mwanaume mwengine. Wanaume wengi huona kama hakuna tatizo ila ni maamuzi tu ya mwanamke ila ukweli wa mambo kuna sababu moja kubwa ukiwanayo hiyo lazima mwanamke akuwache nayo ni kushindwa kurudia tendo au ukiwa mtu wa kimoja tu chali, au kuwahi haraka kufika kileleni yani hapo hapo hakuna mwanamke atakae dumu labda kubaki na familia tu. Sasa kama unatatizo hilo au bado hujui ila unahisi basi usipaniki nimekuandalia Elimu nzuri ya kufanya utatuwe hiyo aibu hapo hapo nyumbani kwako bila ya kwenda hospital Katika somo hilo nimeleza jinsi ya kufahamu saikologia ya kufanya kuwa mshindi mechi zote kitandani nitumie ujumbe Tuma ujumbe neno AFYA BORA kwenda whatsApp namba 0784161431 nitakutumia Audio ya suluhisho bila malipo yoyote.

  • @michaelchombo8956
    @michaelchombo8956 Місяць тому

    Ulikuja chimala ukawa unaiponda ccm,leo umerudi kula matapishi, huna lolote njaa inakusumbua

  • @jonasnzemya7700
    @jonasnzemya7700 Місяць тому

    Huna jipya wewe

  • @geraldlaurent6750
    @geraldlaurent6750 Місяць тому

    Njaa hizi bhana duh

  • @user-jo9gp5tb9w
    @user-jo9gp5tb9w Місяць тому

    Umenunuliwa umeshindwa kulipa maden wamekulipia punda wewe

  • @user-jo9gp5tb9w
    @user-jo9gp5tb9w Місяць тому

    We ni njaa tu

  • @user-jo9gp5tb9w
    @user-jo9gp5tb9w Місяць тому

    We kma ni mwanamke niyule malaya sisi kamwambie mamaako

  • @user-jo9gp5tb9w
    @user-jo9gp5tb9w Місяць тому

    Mm nilijua unaakili kumbe bwege mkubwa huna sera km umeolewa na ccm utaolewa na act wazalendo we kumer tyu

  • @reubenmakalla745
    @reubenmakalla745 Місяць тому

    Msigwa acha siasa uchwara. Unajitia aibu bro. What you are doing ni ujinga ni unaonekana ni njaa zinakusumbua

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 Місяць тому

    Hizi sera ni za CCM au ni za Msigwa?

  • @Chef_Ammytz
    @Chef_Ammytz Місяць тому

    Ccm mmejua kumdhalilisha sana mchungaji Msigwa, nimelia sana kama nyie ni chama cha kisiasa tena kinachoongoza Dora leo mnamdhalilisha mzee wa watu... nimelia sana mhe Amos makala aisee wewe ni wa kutwenza utu wa msigwa kwa kiasi hiki? Nimelia haki

  • @monelayongola419
    @monelayongola419 Місяць тому

    Mchumia tumbo

  • @emmanuelymganga5737
    @emmanuelymganga5737 Місяць тому

    Yaan mpaka msemeh Mbowe ndiye chairman wetu mpaka MUNGU aseme imetosha sio wewe lambalamba

  • @emmanuelymganga5737
    @emmanuelymganga5737 Місяць тому

    kwendraaa😮😮

  • @duniamapitosotewamungu3467
    @duniamapitosotewamungu3467 Місяць тому

    Hata usome kama nini kisha uwe na kipaji,heshima iwe namba one ipe umuhimu kama maji.. heshima ni kitu gani unazani ukimpa mbowe utapungukiwa na nini haununui madukani rabda ukimpa mbowe utafilisika maishani, kiufupi heshima haiyuzwi wala heshima sio pumzi,eti ukimpa mbowe kuishi tena ww huwezi.....

  • @leoncebenjamin8107
    @leoncebenjamin8107 Місяць тому

    Njaa hiz ni mbaya

  • @StephenZacharia-tr4oy
    @StephenZacharia-tr4oy Місяць тому

    Fala kwely hata hujitambuii mchungaj gan we

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 Місяць тому

    Waliokununua wanakusanifu unabwabwaja umekosa mwelekeo